- Posted by Freebloggertemlatetz
- on
Alichukuliwa kisha
Hali hii ilipelekea Claudia kukumbwa na msongo wa mawazo kwa sababu ya jinsi ambavyo watu walimtendea na kumsema.
"Watu walisema kwamba nilijaribu kubadilisha rangi ya ngozi yangu lakini dawa hizo zikakataa kufanya kazi. Wengine wakasema kwamba niko na Ukimwi.
Nilikuwa najipendekeza kwa watu ili nipate marafiki, na mtu ambaye alikuwa anakubali kuwa rafiki yangu ana lengo fiche."
Wakati alipokosa marafiki, upweke ulimzidi, na ikamlazimu kutafuta njia za kujipunguza machungu.

Comments
Google+
To turn on Google+ comments:
Learn More